Jumanne, 1 Oktoba 2013

man u ari tete hii ni baada ya kufungwa na WBA siku ya jumapili kwa idadiya magoli 2 kwa 1

Alhamisi, 27 Juni 2013

CARLOS TEVES AJIUNGA NA JUVENTUS
Mshabuliaji aliyekuwa wa timu ya manchester city amejiunga rasmi na timu ya juventus kwa ada ya E7.6M na kusaini mkataba wa miaka mitatu na anatalajiwa kupewa jezi namba 10 ambayo iliwai kutumiwa na mangwiji wa soka katika klabu hiyo kama michel platini na alessandor der pielo.

Teves atakumbukwa  na mashabiki wa manchester city kwa mkwaluzano na kocha wa wakati huu roberto mancini mwaka 2011
   MOYES KUHOFIA KUIBUA MSUGUANO TENA
 
kocha mpya wa klabu ya manchester united david moyes anaofia kuibua msuguano mwingine na mshambuliaji wa klabu hiyo wayne rooney katika harakati za kumshawishi mshabuliaji huyo kubakia klabuni hapo ikumbukwe moyes na rooney walikwaruzana pindi rooney alipokua anataka kuama klabu ya everton

Alhamisi, 6 Juni 2013

                                                  ARSENAL KWA KINDA KUINGO


                      Arsenal imelekeza nguvu zake kwa kinda kiungo wa kijerumani wenye umri wa miaka 19.Arsenal imemtengea kitita cha E5M  matthias ginter anae kipinga katika klabu freibury na timu ya U21 ya ujerumani.
                                     ARSENAL KUWAACHIA WACHEZAJI WATATU


            Arsenal iko mbioni kuwaachia huru wachezaji wake watatu andrey arshavin,sebastian squillaci na denilson.Arsenal imefikia hatua hiyo kutokana na wachezaji hao kushuka kiwango kupita kiasi                                  Andrey arshavin alijiunga arsenal kwa kitita cha E15M na kuifungia arsenal magori 31 katika mechi 144 katika kipindi cha miaka 5 aliyokaa arsenal.Arsenal watamkumbuka kwa kuwafungia gori 4 katika uwanja wa anfield na alipofunga gori la ushindi dhidi ya barcerona katika kombe la UEFA na Denilson amekuwa nje ya asenal kwa mkopo wa miaka 2 nchini brazil sasa ni mda wakumuachia huru denilson ameichezea arsenal mechi 153 toka mwaka 2006 hadi 2011 na kushindwa kulinda namba yake mpaka kutemwa katika kikosi cha kwanza na kuachiwa kwa mkopo na Squillaci amedumu arsenal kwa mda wa miaka mitatu na kushindwa kufanya chochote na hivyo muda wake wa kuondoka umefika

Jumatano, 5 Juni 2013

 MWAKA WA KUSTAHAFU MASHUJAA WA SOKA
                                    
                    Huu umekuwa mwaka wa majozi kwani mangwiji wa soka kutoka sehemu mbalimbali duniani ambao walikuwa vipenzi wa mashabiki ulimwenguni kote kutokana na uwezo wao uwanjani waliamua kuachana na soka na kutangaza kupumzika mpira hii imekuja huku kocha wa manchester united sir alex farguson kuamua kuachia ngazi na kustahafu nafasi yake huku nawachezaji kama eric abidal nae kuamua kuachana nasoka ili kuweza kupumzika na david beckham nae kuamua kuachia ngazi nae kupumzika mwishoni wa msimu huu nae poul scholes kuamua kupumzika katika soka
                                               USAIN BOLT HAMRIRIA FARGUSON


                   Usain bolt ameyatamka hayo katika mahojiano yake na kusema kuondoka kwa farguson ilikuwa siku mbaya kwake kutokana farguson alikua rafiki yake na alimuaidi kumpa nafasi katika kikosi msimu ujao sasa hayupo tena yupo moyes itakuwa ngumu sana naumia sana.                                                                    kumbukwe kuwa huyu ndie bingwa wa olympic na alikuja uwanja wa manchester united kuonesha medani tatu za dhahabu mwaka jana ambazo alishinda katika mashindano ya olympic yaliyofanyikia london mwaka 2012.